Fikia Mafanikio - Kiviwanda
Pata nafasi yakujua masuala mbalimbali yanayohusu njia bora na hakika zakuweza kubadili maisha yako. Kujua namna bora yakufanyia kazi mawazo yako kuwa na tija; kuanzisha nakusimamia biashara na kuwa mtu mwenye Mafanikio huku ukiangaza njia yakutumia sera za taifa kunufaika
Session Calendar
Saturday, 14th April 2018 (Number of Session 2)
- VIP Session – Namna yakufanya Wazo kuwa na Tija na Uanzishaji na Uendeshaji wa Biashara
- Normal Session - Namna yakufanya Wazo Kuwa na Tija
Tues, April 17, 2018
- Normal Session – Uanzishaji na Uendeshaji wa Biashara Mpya
Wed, April 18, 2018
- VIP Session – Changamoto za Biashara Mpya Namna Yakukabiliana nazo
Thursday, April 19,2018
- Normal Session - Njia Zakuifanya Biashara iwe na Mafanikio
Fri, April 20, 2018
- VIP Session – Uanzishaji na Uendeshaji wa Biashara mpya, namna yakukabiliana na Changamoto na Njia Zakuifanya biashara iwe na mafanikio
Sat, April 21, 2018
- VIP Session – Biashara Mpya na Fursa Zinazoizunguka
- Normal Session - Biashara Mpya na Fursa Zinazoizunguka